Burning Spear | |
---|---|
![]() | |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Winston Rodney |
Amezaliwa | 1 Machi 1948 |
Aina ya muziki | Reggae |
Miaka ya kazi | 1969 – present |
Studio | Studio One, Island, EMI, Heartbeat, Slash |
Tovuti | www.burningspear.net |
Winston Rodney (anajulikana kama Burning Spear; alizaliwa 1 Machi 1948 [1][2]) ni mwimbaji na mwanamuziki mwenye mizizi ya Reggae kutoka nchini Jamaika, aliyeshinda tuzo ya Grammy. Kama wengi wa wasanii maarufu wa Reggae, Burning Spear hujulikana kwa ujumbe wake wa Rastafari.