Bustani ni eneo lililotengenezwa nje ya nyumba au jengo lingine kwa kupanda miti, majani na maua ili kulipendezesha na kulifurahia wakati wa kupumzika.
Pengine bustani linapandwa pia mimea kwa ajili ya mboga au matunda.
Tena kuna bustani ya wanyama ambao wanatunzwa ili watu waweze kuwaona kwa urahisi.
Bustani zilianzishwa zamani za kale.