Calabria

Mbuga ya taifa ya Pollino, Calabria
Bendera ya Calabria.
Bendera ya Calabria.
Mahali pa Calabria katika Italia.

Calabria ni mkoa wa Italia. Inaenea katika ncha ya rasi ya Italia katika bahari ya Kati kuelekea kisiwa cha Sicilia.

Mji mkuu wake ni Catanzaro.


Calabria

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne