Campania ni mkoa wa Italia upande wa kusini-magharibi. Ndio wenye wakazi wengi zaidi kati ya ile yote ya Italia Kusini.
Mji mkuu wake ni Napoli, mji wa tatu wa nchi baada ya Roma na Milano.
Campania