Cedella Marley Minto (amezaliwa 23 Agosti 1967) ni mwimbaji kutoka Jamaika. Yeye ni binti wa waimbaji wa reggae Bob Marley na Rita Marley na mama wa Skip Marley. Alikuwa katika kundi la Ziggy Marley and the Melody Makers pamoja na ndugu zake. Pamoja na kundi hilo, ameshinda tuzo tatu za Grammy.[1][2][3][4]
- ↑ "Cedella Marley". GRAMMY.com (kwa Kiingereza). 2020-11-23. Iliwekwa mnamo 2021-04-14.
- ↑ Cedella Marley Clothing Lines. Zion Roots Wear. Retrieved on 14 April 2012
- ↑ The Marley Legacy Archived 5 Februari 2011 at the Wayback Machine, Vogue.com, 2 February 2011
- ↑ "Three Little Birds turns musical Archived 27 Machi 2019 at the Wayback Machine", Jamaica Observer, 17 January 2014. Retrieved 24 January 2014