Chemchemi ni mahali ambapo maji yanatoka ardhini[1].
Mara nyingi chemchemi huwa Chanzo cha mto ambao hutiririsha maji yake mpaka baharini au ziwani kama mto ni mkubwa, au ndani ya mto mwingine kama mto ni mdogo[2].
Chemchemi