Wilaya ya Chunya ni wilaya mojawapo kati ya 7 za Mkoa wa Mbeya.
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 206,615 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 344,471 [2].
Chunya (wilaya)