Chuo

Nembo ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam
Ukumbi wa Nkrumah, Chuo kikuu cha Dar es salaam

Chuo ni taasisi ya elimu ya pekee. Inatoa mafunzo ya kazi fulani. Mifano ni chuo cha ufundi, chuo cha kilimo au chuo cha ualimu. Kwa kila namna chuo kinaanza kufundisha watu baada ya kumaliza ngazi fulani ya shule.


Chuo

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne