Jiji la Cincinnati | |||
| |||
Mahali pa mji wa Cincinnati katika Marekani |
|||
Majiranukta: 39°8′10″N 84°30′11″W / 39.13611°N 84.50306°W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Ohio | ||
Wilaya | Hamilton | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 332,458 |
Cincinnati ni mji wa Marekani katika jimbo la Ohio. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 2.2 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 147 kutoka juu ya usawa wa bahari.