Lucius Aurelius Commodus (31 Agosti 161 – 31 Desemba 192) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 18 Machi, 180 hadi kifo chake.
Alimfuata baba yake, Marcus Aurelius.
Commodus