Damian Marley

Marley akitumbuiza mwaka 2015.

Damian Robert Nesta "Jr. Gong" Marley (alizaliwa 21 Julai 1978) ni Mjamaika mwimbaji na rapa ambaye amepokea tuzo nne za Grammy Awards.[1]

  1. "Damian Marley". Grammy.com (kwa Kiingereza). 23 Novemba 2020. Iliwekwa mnamo 14 Aprili 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Damian Marley

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne