Desturi

Baraza likiongozwa na chifu kuamua kesi kadiri ya desturi (Kongo ya KIbelgiji, 1942 hivi).

Desturi (pia: dasturi; kutoka neno la Kiajemi) ni mwenendo uliozoeleka kufanywa, hivyo ni kama tabia, kaida, mila, mazoea.

Kama imekuwa aina ya kanuni ya jamii fulani, basi inaweza kuwa sehemu ya mfumo wa sheria kwa jamii hiyo.


Desturi

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne