Dijiti (kutoka neno la Kiingereza ambalo kwa Kilatini linamaanisha kidole) ni tarakimu zinazoenea katika vidole kumi vya mkono wa binadamu, kuanzia 0 hadi 9.
Siku hizi neno hilo linatumika sana katika teknolojia ya simu, runinga, tarakilishi n.k. kama mfumo unaotumia namba kufichua alama za kielektroni.