Dola la Ujerumani (Kijer.: Deutsches Reich) lilikuwa jina la Ujerumani kati ya 18 Januari 1871 hadi 1949 (wengine husema: 1945).
Dola hili lilikuwa na vipindi vitatu:
Dola la Ujerumani