Elektroni ni chembe ndani ya atomi yenye chaji hasi. Iko nje ya kiini cha atomi na kukizunguka kwa njia yake katika ganda la atomi. Njia hizi zaitwa mizingo elektroni.
Masi ya elektroni ni ndogo sana imekadiriwa kuwa sehemu ya 1/1836 ya protoni. Jumla ya elektroni zote haifikii asilimia moja ya masi ya atomi yote mengine ni kiini. Idadi ya elektroni katika atomi hulingana idadi ya
Elektroni hukaa ndani ya atomi lakini kuna pia elektroni zilizotoka kwenye atomi yao.
Mwendo wa elektroni kutoka atomi mmoja kwenda nyingine unasababisha umeme.