'
Fela Kuti (kifupisho cha jina lake la kuzaliwa Olufela Olusegun Oludotun Ransome-Kuti; 15 Oktoba 1938 – 2 Agosti 1997) alikuwa mwanamuziki wa Nigeria. Alikuwa anapiga muziki wa Afrobeat.
Fela Kuti