Fumbatio

Anatomia ya fumbatio la binadamu.

Fumbatio (pia: tumbo au kiwambotao) ni sehemu ya mwili inayounganisha kifua na fupanyonga.

Ndani yake kuna ogani za mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fumbatio kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Fumbatio

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne