![]() | Makala hii au sehemu ya makala hii inahitaji masahihisho kwa upande mmoja wa zifuatazo:
|
Upande wa kaskazini, mwishoni mwa Bahari ya Shamu kuna mto unaotokea baada ya mkono nchi wa Sinai au Rasi ya Sinai, na kusababisha kutokea kwa ghuba ya Suez au ((Kiarabu: خليج السويس; Khalīǧ as-Suwais) kwa upande wa Magharibi, na pia kutokea kwa ghuba ya Aqaba kwa upande wa mashariki. Ghuba ya Suez hutengenezwa na bonde dogo lakini linalokua linajulikana kama Gulf of Suez Rift, linalikadiriwa kuwa kwa kiasi cha miaka milioni ishirini na nane iliyopita.[1]. lianpanuka kwa kiasi chakilometre 300 (mi 190) kaskazini kwa kaskazinimagharibi. Hii husababisha kutenganisha kwa mji wa Suez na ingilio katika mfereji wa Suez. Katika miishio ya mkono nchi huu, ndio kuna mipaka ya bara la Afrika na Asia [2] Mlango wa mkono nchi huu upo katika eneo linaloaminika kwa na mafuta pamoja na gesi..[3]