Halmahera (pia Jailolo) ni kisiwa cha Visiwa vya Maluku nchini Indonesia. Kiko upande wa kaskazini wa visiwa vya Maluku.
Eneo la kisiwa ni km² 17,780.
Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani ilihesabiwa kuwa 449,938.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Halmahera kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |