Hartford, Connecticut

Mji wa Hartford
Hartford
Hartford is located in Marekani
Hartford
Hartford

Mahali pa mji wa Hartford katika Marekani

Majiranukta: 41°45′45″N 72°41′19″W / 41.76250°N 72.68861°W / 41.76250; -72.68861
Nchi Marekani
Jimbo Connecticut
Wilaya Hartford
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 124,512
Tovuti:  www.hartford.gov/

Hartford ndiyo mji mkuu katika jimbo la Connecticut. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao milioni 1.2 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 18 kutoka juu ya usawa wa bahari.


Hartford, Connecticut

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne