Hifadhi ya Taifa ya Serengeti | |
IUCN Jamii II (Hifadhi ya Taifa) | |
katika Hifadhi ya Serengeti | |
Mahali pa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti | |
Mahali | Tanzania |
---|---|
Coordinates |
2°19′58″S 34°34′0″E / 2.33278°S 34.56667°E{{#coordinates:}}: cannot have more than one primary tag per page |
Eneo | 14,763 km2 |
Kuanzishwa | 1951 |
Hifadhi ya Serengeti ni eneo kubwa la mbuga na misitu katika Tanzania ya kaskazini hasa katika mikoa ya Mara na Arusha ikipakana na nchi ya Kenya. Jina Serengeti limechukuliwa kutoka lugha ya Kimasai hasa: "Serengit" humaanisha "Kiwara kisichoisha".Kuna simba 3000