Historia andishi ni kipindi cha historia ya binadamu kuanzia walipobuni uandishi miaka 3,300 hivi KK huko Mesopotamia.
Hatua hiyo imewezesha kutunza kumbukumbu kwa makusudi na hivyo kuchangia sana maendeleo ya fani ya historia.
Historia andishi