Injinitreni (pia: kichwa cha treni; kwa Kiingerezalocomotive) ni sehemu ya treni yenye injini na nguvu ya kuvuta au kusukuma treni yote. Ni kama gari kubwa lisilobeba abiria wala mizigo. Badala yake inabeba ndani yake injini moja au zaidi kubwa pamoja na tangi.