Ishirini na moja ni namba inayoandikwa 21 kwa tarakimu za kawaida na XXI kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 20 na kutangulia 22.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 3 x 7.
Ishirini na moja