Italia Kaskazini

Italia Kaskazini ni sehemu ya Italia bara[1] inayoundwa na mikoa ya Emilia-Romagna, Friuli-Venezia Giulia, Liguria, Lombardia, Piemonte, Trentino-Alto Adige, Valle d'Aosta na Veneto.

Kwa jumla ni km2 120,260 na wakazi 27,801,460[2] Ni asilimia 46 za wakazi wote wa Italia, lakini wanazalisha 59,4% za mapato yake.

  1. http://epp.eurostat.ec.europa.eu/portal/page/portal/nuts_nomenclature/introduction
  2. "Dato Istat al 30/11/2014". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-16. Iliwekwa mnamo 2017-03-07.

Italia Kaskazini

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne