Italia Visiwani ni sehemu ya Italia[1] inayoundwa na mikoa miwili ya visiwani: Sicilia na Sardegna.
Kwa jumla ni km2 49,801 na wakazi 6,746,464[2]. Msongamano ni mdogo, lakini ni mikoa fukara kuliko kawaida ya nchi.
Italia visiwani