Itikadi

Itikadi ni muongozo wa kikanuni unaozingatia jamii ama kundi fulani.

Kuna aina kuu mbili za itikadi: itikadi za kisiasa, na itikadi za kiepistemolojia (ni sehemu ya falsafa ambayo inahusu utafiti wa jinsi tunavyojua mambo). Itikadi ya kisiasa ni upangiliaji unaohusu mawazo ya kimaadili na vipi nchi itaendeshwa. Itikadi za kiepistemolojia ni upangiliaji unaohusu mawazo ya kifalsafa, ulimwengu, na jinsi gani watu wanapaswa kufanya maamuzi.

Kuna aina nyingi za itikadi. Moja kati ya hizo ni pamoja na Ukomunisti, Usoshalisti, na ubepari ni itikadi kubwa sana za kiuchumi na kisiasa kwa ujumla.


Itikadi

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne