| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Union - Discipline - Travail (sw. Umoja, Nidhamu, Kazi) | |||||
Wimbo wa taifa: L'Abidjanaise (sw. Wimbo wa Abidjan) | |||||
Mji mkuu | Yamoussoukro (rasmi) Abidjan (hali halisi) | ||||
Mji mkubwa nchini | Abidjan | ||||
Lugha rasmi | Kifaransa | ||||
Serikali | Jamhuri Alassane Ouattara | ||||
Uhuru Tarehe |
7 Agosti 1960 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
322,463 km² (ya 67) 1.4% | ||||
Idadi ya watu - 2023 kadirio - 2014 sensa - Msongamano wa watu |
29,344,847 ¹ (ya 52) 22,671,331 91.1/km² (ya 139) | ||||
Fedha | CFA franc (XOF )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
GMT (UTC+0) haifuatwi (UTC+0) | ||||
Intaneti TLD | .ci | ||||
Kodi ya simu | +225
- |
Côte d'Ivoire (tamka: kot divwar; kwa Kifaransa jina lina maana ya Pwani ya pembe za ndovu; kwa Kiingereza: Ivory Coast; kwa Kiswahili pia: Kodivaa) ni nchi ya Afrika ya Magharibi.
Imepakana na Liberia na Guinea upande wa magharibi, Mali na Burkina Faso kaskazini, Ghana mashariki na Ghuba ya Guinea ya Atlantiki upande wa kusini.