Jamhuri ya China

Makala hii yaeleza habari za Taiwan. Kwa habari za Jamhuri ya Watu wa China au China bara tazama hapa
中華民國
Zhōnghuá Mínguó

Jamhuri ya China
Bendera ya Taiwan Nembo ya Taiwan
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Misingi mitatu ya taifa
(三民主義 San-min Chu-i)
Wimbo wa taifa: Wimbo la taifa la Jamhuri ya China
Lokeshen ya Taiwan
Mji mkuu Taipei (hali halisi)1 
25°02′ N 121°38′ E
Mji mkubwa nchini Taipei
Lugha rasmi Kichina (Guóyǔ)
Serikali
Rais
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya China
Waziri Mkuu
Demokrasia
Tsai Ing-wen
Chen Chien-jen
Su Tseng-chang
Tarehe za Kihistoria
Jamhuri ilitangazwa
Iliundwa
Ilihamia
   Taiwan

10 Oktoba 1911
1 Januari 1912
7 Desemba 1949
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
36,193 km² (136)
10.3
Idadi ya watu
 - 2018 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
23,780,452 (ya 532)
650/km² (ya 172)
Fedha Dollar mpya ya Taiwan (NT$) (TWD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
CST (UTC+8)
not observed (UTC)
Intaneti TLD .tw
Kodi ya simu +886

-

1 Serikali ya Kuomintang ilitaja mji wa Nanking (China bara) kama mji mkuu rasmi
2 takwimu za 2006



Jamhuri ya China (pia: Taiwan) ni nchi ya visiwani katika Asia ya Mashariki upande wa kusini-mashariki wa China bara.


Jamhuri ya China

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne