Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

République Démocratique du Congo
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Bendera ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Nembo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Justice - Paix - Travail
(Kifaransa: "Haki - Amani - Kazi")
Wimbo wa taifa: Debout Congolais
Lokeshen ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mji mkuu Kinshasa
4°24′ S 15°24′ E
Mji mkubwa nchini Kinshasa
Lugha rasmi Kifaransa (Kilingala, Kikongo, Kiswahili, Kiluba ni lugha ya taifa)
Serikali
Rais
Serikali ya mseto
Félix Tshisekedi (2019-)
Uhuru
 - Tarehe
Kutoka Ubelgiji
30 Juni 1960
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
2,345,409 km² (11th)
4.3%
Idadi ya watu
 - 2019 kadirio
 - 1938 sensa
 - Msongamano wa watu
 
91 931 000 (16th)
10,217,408
39.19/km² (182nd)
Fedha Congolese franc (CDF)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
CET, EET (UTC+1 na +2)
- (UTC+1 na +2)
Intaneti TLD .cd
Kodi ya simu +243

-


Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (au Kongo-Kinshasa) ni nchi iliyoko Afrika ya Kati; kwa ukubwa wa eneo ni ya pili barani Afrika. Ni tofauti na nchi jirani ya Jamhuri ya Kongo.

Ramani ya Jamhuri.

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne