John Henrik Clarke (Union Springs, Marekani, 1 Januari 1915 – New York, Marekani, 16 Julai 1998) alikuwa mwandishi, mwalimu na mwanahistoria wa Umoja wa Afrika nchini Marekani. Alijenga "African studies" (masomo kuhusu Waafrika nchini Marekani).
John Henrik Clarke