John Quincy Adams | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1825 – Machi 4, 1829 | |
Makamu wa Rais | John C. Calhoun |
mtangulizi | James Monroe |
aliyemfuata | Andrew Jackson |
tarehe ya kuzaliwa | Braintree, Massachusetts, British America (sasa Quincy, Massachusetts, Marekani) | Julai 11, 1767
tarehe ya kufa | 23 Februari 1848 (umri 80) Washington, D.C., Marekani |
mahali pa kuzikiwa | United First Parish Church |
chama | Federalist (1792–1808) Democratic-Republican (1809–1828) National Republican (1828–1830) Anti-Masonic (1830–1834) Whig (1834–1848) |
watoto | 4 |
mhitimu wa | Harvard University (Bachelor of Arts, Master of Arts) |
signature |
John Quincy Adams (11 Julai 1767 – 23 Februari 1848) alikuwa Rais wa sita wa Marekani kuanzia mwaka wa 1825 hadi 1829. Alikuwa mwana wa John Adams, Rais wa pili. Kaimu Rais wake alikuwa John C. Calhoun.