| |||||
Kaulimbiu ya taifa: (Khmer: Taifa, Dini, Mfalme) | |||||
Wimbo wa taifa: Nokoreach | |||||
Mji mkuu | Phnom Penh | ||||
Mji mkubwa nchini | Phnom Penh | ||||
Lugha rasmi | KiKhmer1 | ||||
Serikali | Ufalme wa Kidemokrasia Norodom Sihamoni Hun Manet | ||||
Uhuru Kutangazwa Kutambuliwa |
Kutoka Ufaransa 1949 1953 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
181,035 km² (88th) 2.5% | ||||
Idadi ya watu - Julai 2014 kadirio - 2008 sensa - Msongamano wa watu |
15,458,332 (65th) 13,388,910 81.8/km² (118th) | ||||
Fedha | ៛ Riel 2 (KHR )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+7) (UTC+7) | ||||
Intaneti TLD | .kh | ||||
Kodi ya simu | +855
- | ||||
1 Kifaransa na Kiingereza hueleweka na wasomi tu. 2Lakini pesa za Marekani hutumiwa sana. |
Kamboja au Kampuchia ni ufalme katika bara la Asia upande wa Kusini-Mashariki, katika rasi ya Indochina.