Karne ya 10


Karne ya 10 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 901 na 1000. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 901 na kuishia 31 Desemba 1000. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama haya yafuatayo.


Karne ya 10

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne