Karne ya 2

Ulimwengu wa Kale mwanzoni mwa karne ya 2.
Ulimwengu wa Kale mwishoni mwa karne ya 2.

Karne ya 2 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 101 na 200. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 101 na kuishia 31 Desemba 200. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya binadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii.


Karne ya 2

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne