Kaunti ya Lamu | |
---|---|
Kaunti | |
Kisiwa cha Lamu | |
Lamu County in Kenya.svg Kaunti ya Lamu katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
Namba | 5 |
Ilianzishwa | Tarehe 4 Machi, 2013 |
Ilitanguliwa na | Mkoa wa Pwani |
Makao Makuu | Lamu |
Miji mingine | Mkomani, Hindi, Hongwe, Bahari, Witu, Faza, Kiunga, Basuba |
Gavana | Fahim Yasin Twaha |
Naibu wa Gavana | Abdulhakim Aboud Bwana |
Seneta | Anwar Loitiptip |
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa) | Ruweida Mohamed Obo |
Bunge la Kaunti | Bunge la Kaunti ya Lamu |
Eneo | km2 6 273.1 (sq mi 2 422.1) |
Idadi ya watu | 143,920[1]. |
Wiani wa idadi ya watu | 23 |
Kanda muda | Saa za Afrika Mashariki (UTC+3) |
Tovuti | lamu.go.ke |
Kaunti ya Lamu ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Kaunti ya Lamu ni mojawapo ya kaunti za pwani. Inapakana na Kaunti za Garissa na Tana River. Pia inapakana na Jamuhuri ya Shirikisho la Somalia na Bahari Hindi.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 893,681 katika eneo la km2 6,253.3, msongamano ukiwa hivyo wa watu 23 kwa kilometa mraba[2]..
Makao makuu yako katika Lamu.