Kaunti ya Migori

Picha ya ramani ikionesha eneo la Kaunti ya Migori, Kenya
Migori Mjini

Kaunti ya Migori ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,116,436 katika eneo la km2 2,613.5, msongamano ukiwa hivyo wa watu 427 kwa kilometa mraba[1].

Makao makuu yako Migori.

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.

Kaunti ya Migori

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne