Kibali (Kongo)

Kibali ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabali. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kibali imehesabiwa kuwa watu 42,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibali iko katika kundi la D20.


Kibali (Kongo)

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne