Kikannada

Kikannada ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakannada. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikannada imehesabiwa kuwa watu milioni 37 na lakhi saba. Tena, watu milioni tisa huitumia kama lugha ya mawasiliano. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikannada iko katika kundi lake lenyewe la Kikannada.


Kikannada

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne