Kikapu

Kikapu ni kifaa ambacho kijadi hutumika kubebea vitu.

Kinatengenezwa kutoka nyuzi ngumu, ambazo zinaweza kufanywa kutokana na vitu mbalimbali, kama vile mianzi, minyaa, matete, mikonge pamoja na vipande vya mbao.

Wakati vikapu vingi vinatengenezwa kutoka kwa vifaa vya mimea, vifaa vingine kama singa za farasi, nyangumi, au nyaya za chuma vinaweza kutumiwa.

Vikapu kwa ujumla hutengenezwa kwa mikono.

Vikapu vingine vinafungwa na kifuniko, wengine huachwa wazi.


Kikapu

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne