Kikroatia

Lugha ya Kikroatia
Kinazungumzwa katika: Kroatia (milioni 4); Pia kuna wazungumzaji katika Australia, Kanada, Uingereza, Marekani, Ufaransa, Ujerumani, Argentina, Brazil, na nchi nyingine.
Waongeaji: zaidi ya milioni 5.6
Kama lugha rasmi:
Nchi: Kroatia
Uianishaji wa kiisimu:
Lugha za Kihindi-Kiulaya
   Lugha za Kislavoni
      Kislavoni cha Kusini
         Kislavoni cha Mashariki Kusini
            Lugha ya Kikroatia

Kikroatia (kwa Kikroatia: hrvatski jezik; kwa Kiingereza: Croatian language) ni tawi la Kiserbokroatia, moja kati ya lugha za Kislavoni, za jamii ya Lugha za Kihindi-Kiulaya, linalozungumzwa zaidi katika nchi ya Kroatia.

Kikroatia kilikuwa lugha rasmi ya Yugoslavia pamoja na Kislovenia, Kiserbia na Kimasedonia.

Kikroatia "Baška" 1100.
Kikroatia 1380-1400.

Kufuatana na tofauti za utamaduni na madhehebu, Kiserbokroatia kinaandikwa kwa alfabeti ya Kilatini upande wa Magharibi katika eneo la Kroatia na kwa alfabeti ya Kisirili upande wa Mashariki katika eneo la Serbia.

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:

.


Kikroatia

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne