Kimaasai (au Kimaa) ni lugha ya Kiniloti inayozungumzwa na Wamaasai nchini Kenya na Tanzania.
Lugha hiyo huandikwa kwa herufi za Alfabeti ya Kilatini.
Kimaasai