Kinorwei

Kinorwei
norsk
Pronunciation [nɔʂk]
Inazungumzwa nchini Norwei
Jumla ya wazungumzaji 4,700,000
Familia ya lugha Lugha za Kihindi-Kiulaya
Standard forms
Mfumo wa uandikaji Alfabeti ya Kilatini
Hadhi rasmi
Lugha rasmi nchini Norwei
Hurekebishwa na Språkrådet
Misimbo ya lugha
ISO 639-1 no
ISO 639-2 nor
ISO 639-3 nor

Kinorwei (Kinorwei: norsk) ni lugha ya Kigermanik ya Kaskazini katika jamii ya lugha za Kihindi-Kiulaya.

Kinorwei kinasemwa na watu 4,700,000 hivi, na ni lugha rasmi nchini Norwei.

Kinorwei, Kiswidi na Kidenmark vinavyoitwa lugha za Skandinavia ya bara vinahusiana sana.

Kinorwei kina insha rasmi mbili: bokmål na nynorsk.


Kinorwei

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne