Kinyonga | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() Kinyonga shingo-lisani
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Nusufamilia 2:
|
Vinyonga au vigeugeu (jina la kisayansi: Chamaeleonidae) ni aina za mijusi. Wana miguu kama kasuku, ulimi ndefu na pia spishi fulani zina pembe au uwezo wa kugeuka rangi zake. Wanapatikana katika Afrika, Madagaska, Hispania na Ureno, Kusini mwa Asia, Sri Lanka na hata Hawaii, Kalifonia na Florida, na pia wanapatikana msituni mwa mvua au jangwani.
Vinyonga wengine huwa na sumu. Kwa mfano, kinyonga wa Namakwa ana sumu kiasi cha kuweza kumpofusha binadamu.