Kiorma ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kenya inayozungumzwa na Waorma. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiorma imehesabiwa kuwa watu 66,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiorma iko katika kundi la Kikushi.
Kiorma