Kisasili ni habari inayotokeza imani na maadili ya utamaduni fulani kuhusu asili ya ulimwengu au ya mambo muhimu ya msingi katika maisha ya binadamu.
Mara nyingi habari hiyo inatazamwa kuwa si ya kihistoria, ingawa inaweza kuwasilisha ukweli fulani.
Lugha nyingi zinatohoa neno la Kigiriki μύθος, mythos, likitamkwa myuthos.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisasili kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |