Kisiwa cha Sizu

Kisiwa cha Sizu ni kati ya visiwa vya Wilaya ya Ukerewe, mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania.

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.


Kisiwa cha Sizu

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne