Kisiwa cha Uzi ni kati ya visiwa vya mkoa wa Unguja Kusini, Zanzibar, nchini (Tanzania) ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi.
Kisiwa cha Uzi