Kisiwa cha Vundwe ni kati ya visiwa vya mkoa wa Unguja Kusini, Zanzibar, nchini Tanzania, ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi.
Kisiwa cha Vundwe