Kitabu cha Yeremia

Mchoro wa Rembrandt van Rijn unaomuonyesha "Yeremia Akililia Maangamizi ya Yerusalemu", mwaka 1630 hivi.

Kitabu cha Yeremia ni kimojawapo kati ya vitabu vya kinabii vilivyo virefu zaidi katika Tanakh (Biblia ya Kiebrania), na kwa hiyo pia katika Agano la Kale ambalo ni sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo.

Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.


Kitabu cha Yeremia

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne